htpp:// hii ambayo haina (s) mwishoni yaani http: hiyo hufahamika kama (hypertext tansfer protocol, hiyo kitaalamu Ni search engine inayotumika kutafuta au kukupeleka kwenye website fulani Sasa Ukiona umetumiwa link na imeanza na http: bila (s) mwishoni basi ujue hiyo sio salama, na mfano halisi ni Link hii inayotembea kwenye magroup ya WhatsApp ANGALIA HAPA JINSI ILIVYO na ukitaka kujifunza zaidi Bofya hii link KUHUSU HIZI LINKS NA EMAILS
Hiyo (s) inakazi yake kubwa sana ambayo ni ulinzi wa taarifa kwa anaye bofya link
https: maana yake ni (hypertext transfer protocol secure).....hapo utaona hiyo (s) kazi yake ni (secure) yaani ulinzi.
Sasa links zote ambazo zina (http:) na siyo (https:) hizo zina viruses kwa lengo baya kwako
Hizi Links huwa zinatengenezwa kwa sababu mbalimbali na sababu kuu ikiwa ni kudukua (ku-hack) taarifa za watu
Na kwakuwa watu wanapenda vitu vya bure na rahisi basi huwa wanaandika utapewa zawadi pale utakapowatumia watu hiyo link
Sasa ukibonyeza hiyo link unaweza ukaambiwa weka namba zako za simu au email yako
Ukiweka hizo taarifa zako basi wao wanaweza kuchukua taarifa zako na kuweza kufuatilia mawasiliano yako au kukuibia pesa zako kwenye account zako zakifedha
Na Kama ulitumiwa link yenye (htpp:) kwenye Facebook au Instagram au mtandao mwingine wakijamii na ukabofya hiyo link maana yake HIYO ACCOUNT YAKO TAYARI WAMEISHIKILIA NA WAKATI WOWOTE WAKIAMUA WANAWEZA KUICHUKUA AU KUTUMA KITU CHOCHOTE KWENYE ACCOUNT YAKO
MUHIMU
Email za kweli inapoandikwa, huwa likitoka jina la kampuni ndio linafuata neno kama vile (@gmail.co)
Mfano Ukiona imeaandikwa (Coca-Cola@gmail.com) basi hiyo link ni ya Coca-Cola, lakini ukiona imeandikwa (Coca-Cola.money@gmail.com) hiyo email ni ya uongo, hivyo email ya kweli ni lazima ianze jina la kampuni au jina la mtu ndipo ifuate ile (@gmail.com) Ukiona umeandikiwa jina la kampuni halafu yakafuata maneno mengine, halafu ndio (@gmail.com), basi tambua huo ni wizi, mfano hata link ikiwa hivi (amazon.com), hiyo ni sahihi kwa sababu Amazon ndio kampuni na ndio wamiliki wa link website hiyo.
Hivyo kivyo vyote vile taarifa zako ziko salama lakini ukiona (amazon.wd.com) hiyo sio ya kweli maana tayari kuna vitu vimeongezewa hapo mbele
⚠️ Kampuni zote zinafahamu wateja wake zikitaka kutoa offer basi zitawafuata kupitia taratibu zao na sio kutuma links zenye viruses
ASANTENI NAAMINI TUMEJIFUNZA KITU
Mwandaaji wako ni The ChandO
0 Comments