MAMBO YA KUZINGATIA WAKATI WA KUTENGENEZA SABUNI
1.Vaa gloves ,mask na viatu vigumu
kabla hautaanza kutengeneza sabuni
2.Pima kemikali kwa kipimo maalumu
usikadirie
3.weka mbali na watoto kemikali
4.weka chumba maalumu kemikali
usiweke chumba cha kulala viumbe hai
1.2 SABABU YA SABUNI KUJIKATA AU KUJITENGA
1.kuzidi kwa chumvi
2.kuzidi kwa pafyumu
3.uvivu wa kukoroga
4.kupitwa kwa wakati kwa kemikali
5.kuzidi kwa soda ash
Ili kuepuka tatizo hili fuata vipimo na taratibu zilizoelezwa kwenye kitabu hiki
KAMA UNAHITAJI SOFT COPY YA KITABU NI TSH 20,000 TU UNATUMIWA WHATSAPP AU KWENYE EMAIL YAKO.
1.3
VIFAA VYA USALAMA NA VITENDEA KAZI
|
Vitendea kazi |
Kazi
yake |
1 2 3 4 5 6 7 8 |
Face
mask |
Huvaliwa usoni kulinda kemikali |
Ndoo |
Kwa ajili ya kukorogea sabuni |
|
Gloves |
Kukinga kemikali mikononi |
|
Hydrometer |
Kupima kiasi cha dawa kwenye maji |
|
Pipa |
Kukorogea sabuni |
|
Mwiko
mkubwa |
Kukorogea sabuni |
|
Mzani |
Kupimia |
|
Safe
buti |
Kiatu kigumu kujikinga na kemikali |
1.4 VIFAA VYA MSINGI KATIKA UTENGENEZAJI WA SABUNI ZA MAGADI NA TIBA
KIPIMIO
1.5
KAZI YA MALIGHAFI
1 SULPHONIC ACID |
Kazi
yake kutakatisha nakuipa nguvu sabuni |
|
2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 |
SLESS |
Kazi yake kuongeza povu katika sabuni |
SODA ASH |
Kazi yake kumua sabuni na kuipa nguvu sabuni |
|
CMC/ALKA 2 |
Kuongeza uzito wa sabuni |
|
GLYCERINE |
Kurainisha sabuni |
|
RANGI |
Kubadili muonekano |
|
DM DMH |
Kutunza sabuni isiharibike |
|
PH |
Kupima acid na base |
|
MAJI |
Kutengeneza sabuni |
|
CDE |
Kuongeza
sabuni povu na kuipa nguvu |
|
CITRIC ACID |
Kuongeza ph na kutunza |
|
CHUMVI |
Kuongeza uzito na kutunza sabuni |
|
ETHANOL |
Kutunza sabuni isiharibike |
|
|
|
1.6 SABUNI YA MAJI |( kanuni ya kwanza) Mahitaji
1.Sulphonic Acid -Lita 1
2.Sless -500g
3.Soda Ash- 500g
4.Glycerine -250g
5.Cde -200g
6.Alka 2 _100g
7.Sodium Sulphate -300g
8.Rangi _2g
9.Perfume 50g
10.Maji_ 17.5
11.Dm dmh -40mls
12.Ph Inayotakiwa 6_8
Jina la Maji lita malighafi 5 |
Maji lita 10 |
Maji lita 20 |
Maji
lita 20 |
|
Sulphonic aci Sless Soda ash Glycerine Cde Akla 2/cmc Chumvi Pafyumu |
250ml |
500ml |
Lita 1 |
Lita 2 |
125ml |
250ml |
500ml |
Lita 1 |
|
125g |
250g |
500g |
1kg |
|
63ml |
125ml |
250ml |
500ml |
|
50ml |
100m |
200ml |
400ml |
|
25g |
50g |
100g |
200g |
|
125g |
250g |
500g |
1000g |
|
20 ml |
40ml |
40ml |
60ml |
Hatua Za Utengenezaji
1. Chukua ndoo weka Sulphonic Acid KwenyeChombo Cha Kukorogea ,koroga Soda Ash LightKwenye Maji Lita Moja Na Nusu Mimina Kwenye
Sulphonic Acid Koroga
2.
Weka Sless Kwenye Mchanganyiko
Wako Anza Kukoroga .
3.
Weka Maji Kidogo Kidogo Lita 10
lita kumi zilizobakia korogea alka tu
kisha mimina kwenye ndoo yenye mchanganyiko ule wa mwanzo
4.
Weka Cde,Ongeza Glycerine
Koroga
5.
Weka Rangi Na Perfume
6.
Weka Dm Dmh /Nu-Care
7.
Pima Ph
8.
Weka Kwenye Vifungashio Na
Fungasha
1.6.1.UTENGENEZAJI
WA SABUNI YA
MAJI (kanuni
ya pili
MALIGHAFI.
1.sulphonic acid -Lita moja
2.Siles au ungarol-lita moja
3.soda ash-vijiko 15 vya chakula
4.CMC-VIJIKO 6 vya chakula
5.Maji Lita 30
6.grisalini -vijiko 8
7.pafyumu -kijiko 1-2 vya chakula
8.rangi- kijiko kimoja
9.chumvi ya mawe kilo moja Ila usiweke
yote
10.Dm dmh –vijiko 5 vya chakula
MAHITAJI Maji lita Maji lita
Maji 7.5 15
lita30 |
Maji
lita 60 |
|||
Sulphonic acid Sless Soda ash CMC /alka
Glycerine |
Robo lita |
Nusu lita |
Lt 1 |
It 2 |
Robo lita |
Nusu lita |
Lt 1 |
Lt 2 |
|
Vijiko 4
|
Vijiko 8 |
Vijiko
15 |
Vijiko
30 |
|
Vijiko 1.5 |
Vijiko 3 |
Vijiko 6 |
Vijiko
12 |
|
Vijiko 2
|
Vijiko 4 |
Vijiko 8 |
Vjiko 16 |
|
Pafyumu
Rangi |
Nusu kijiko |
Kijko1 |
Vijiko 2 |
Vijiko 4 |
Robo kijk |
Nusu kijk |
Kijk 1 |
Vijk 2 |
|
Chumvi |
Robo kg
|
Nusu
kg |
Kg 1 |
Kg 2 |
Vifaa vya kutengenezea
1.jaba au ndoo
2.mwiko mkavu
3.gloves
4.mask
5.overral
Angalizo: Kuwa makini kuna baadhi ya kemikali hatari kwa afya.
KAMA UNATAKA KITABU CHA MAFUNZO CHA KUTENGENEZEA SABUNI N.K AMBAYO HAYAPO POPOTE UTAYAPATA KWENYE KITABU HIKI BONYEZA HAPA
Buy on
Hakimiliki©2022 Jumanne255 Haki Zote Zimehifadhiwa. Makala hizi hutolewa kwa ajili ya kuboresha maisha yako. Ruksa "kushare" na usibadili kitu chochote bila ya idhini/ruhusa ya mwandishi.
0 Comments