Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Nishati na Maji (EWURA) Mhandisi Godfrey Chibulunje akizungumza na waandishi wa habari Oktoba 5,2021 Dodoma wakati akitangaza bei mpya za mafuta kwa Mwezi Oktoba ambazo zitaanza kutozwa kuanzia Oktoba 6, mwaka huu pamoja nakupunguza Tozo nane.
EWURA imetangaza bei mpya za mafuta ya petroli yaliyopita Bandari Dar ambapo yamepanda kwa TZS 12/lita,badala ya TZS 145/lita ambayo ilitakiwa kutozwa Oktoba 6,2021.Punguzo la TZS 133 limetokana na serikali kupunguza tozo 8 kwenye mafuta
Bei za RejaReja

0 Comments