NEW

6/recent/ticker-posts

Advertisement

Whatsapp Status Diversity

 

Whatsapp Status Diversity

  • Whatsapp status zipo na watu tofauti tofauti, kuna wale ambao wapo kwa ajili ya kupost birthday updates, kuna wale wao ni kupost RIPs tu ni kama vile wanafanya kazi ya updates za vifo, kuna wale wao ni kupost shida tu, kuna wale wengine wao ni hujifanya wanasali sana (fear them),


Kuna wale wao huja kuweka memes kisha wanasepa, kuna wale wao hupost vijembe tu kwa watu (hawana akili). Kuna kundi lengine wao hujiona matured sana, hawaweki status kabisa huwa wana view za watu tu (hawana contents tu). Kuna wale wao ni viewers wazuri na kila status wanajibu.

Chanzo; Jumanne255.com

Post a Comment

0 Comments